+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Tuesday, April 18, 2017

FAST AND FURIOS 8 YAZINDULIWA


Kwa wale wapenzi wa zile muvi maarufu za magari, filamu mpya iitwayo The Fate of the Furious imevunja rekodi ya mapato wakati wa kuzinduliwa kwake wiki hii. Filamu hii ya nane katika mlolongo wa filamu za Fast and Furious imeingiza  $532.5m katika wikiendi ya Pasaka pekee.
Mapato haya yamevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na muvi ya – Star Wars: The Force Awakens ambayo iliingiza  $529m wakati wa kuzinduliwa. Wakati Furious 7 inazinduliwa mwaka 2015 iliingiza  $147.2m, nchini Marekani peke yake.

The Fate of the Furious ambayo inatambulika zaidi sehemu nyingine za dunia kama  Fast & Furious 8 ina masupasta kama Dwayne Johnson na Vin Diesel.
Fast and Furious nyingine zinategemewa kuzinduliwa mwaka  2019 na 2021.

No comments:
Write comments

Google+ Followers

PITIA

PICHA YA LEO MSIKITI WA MAZOMBE

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter