+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Monday, April 17, 2017

KWAYA YA VIJANA USHARIKA NYAMUHANGA WAZINDUA ALBUM


Kwaya ya Vijana Usharika wa Nyamuhanga Kata ya Kitwilu leo wamezindua album yao. Mgeni rasmi katika shughuli hiyo alikuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa Mhe. Joseph Nzala Ryata. Pia alikuweko Diwani wa kata hiyo Mh Baraka Kimata Diwani wa Viti Maalumu Mheshimiwa Husna Mwangasi na kamanda wa Jimbo Raymond Kimata. Hakika mkono wa Bwana umeonekana


No comments:
Write comments

Google+ Followers

PITIA

GARI LIKO SOKONI TOYOTA ARISTO

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter