+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Tuesday, April 18, 2017

RATIBA YA MASHINDANO YA MAGARI RALLY OF IRINGA


JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017 
MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA 
IPOGOLO  NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI 
WOTE MNAKARIBISHWA.
KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA KUELEKEA:
 1.TUMAINI UNIVERSITY HADI MGONGO KUPITIA KIGONZILE 
2.KUTOKA IGINGILANYI- KIWELE  HADI MKWAWA UNIVERSITY
 
JUMAPILI TAREHE 23/4/2017:
1.WENDA-KIKOMBWE HADI TANANGOZI
2.KUANZIA KALENGA-KIPONZELO HADI IFUNDA
3.WENDA-MGAMA HADI IHEMI
4.WENDA-KIKOMBWE HADI TANANGOZI TENA.
ZAWADI ZA WASHINDI ZITATOLEWA KWENYE KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA IPOGOLO---------- NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL

2 comments:
Write comments
  1. Utaratinu kujisajili kuwa mpiga picha ukoje?

    ReplyDelete
    Replies
    1. KILA NILIPOWASILIANA NAO HAWAKUTOA JIBU, NI BORA KUPIGA TU PICHA

      Delete

Google+ Followers

PITIA

PICHA YA LEO MSIKITI WA MAZOMBE

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter