+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Wednesday, May 10, 2017

ANAEDAIWA KUMTUSI RAIS MSEVENI KWENYE FACEBOOK APEWA DHAMANA, serikali yataka apimwe akili


Stella Nyanzi
YULE mwanaharakati wa Uganda ambaye ameshtakiwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya mtandao kwa kudaiwa kumtusi Rais Yoweri Museveni, hatimae amepewa dhamana. Stella Nyanzi mwenye umri wa miaka 42, alipandishwa kizimbani leo Jumatano, ambapo upande wa mashtaka ulitaka apimwe akili yake.
Mtafiti huyu wa Makerere University alifunguliwa mashtaka tarehe 10 Aprili 2017, akishtakiwa chini ya kifungu cha  24 na 25 cha sheria ya Uganda ya  Computer Misuse Act 2011, na toka hapo alikuwa amewekwa rumande. Inasemekama mwishoni mwa mwezi Januari kwa kutumia ukurasa wake wa Facebook alimtusi Rais wake.

No comments:
Write comments

Google+ Followers

PITIA

PICHA YA LEO MSIKITI WA MAZOMBE

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter