+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Monday, May 1, 2017

ASKOFU WA KANISA LA GREEK ORTHODOX ASIMIKWA IRINGA

ASKOFU mpya wa kanisa la Greek Orthodox amesimikwa leo katika kanisa la Greek orthodox la Iringa. Askofu huyu atakuwa kwa ajili ya  Kanda ya Kati Arusha na Iringa. Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alikuwa mmoja wapo ya watu wengi waliohudhuria ibada hiyo.
No comments:
Write comments

Google+ Followers

PITIA

PICHA YA LEO MSIKITI WA MAZOMBE

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter