GANGILONGA

GANGILONGA
GANGILONGA

USISAHAU


Monday, May 8, 2017

IBADA YA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI WALIOFARIKI KWA AJALI YAENDELEA ARUSHA


Miili ya wanafunzi 32 walimu wao wawili na dreva wao wa shule ya Lucky Vicent ambao walifariki katika ajali iliyotokea 6 May 2017, yaagwa na wananchi wengi wa Arusha katika ibada inayofanyika kwenye uwanja wa Sheik Amri Abeid Karume katika mji huu. Watu waliohudhuria walikuwa wengi kiasi cha kulazimisha milango ya uwanja huu kufungwa baada ya uwanja kujaa. Mungu awalaze pema marehemu wote
No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here