GANGILONGA

GANGILONGA
GANGILONGA

USISAHAU


Monday, May 1, 2017

TANGAZO LA KIFO- MZEE MARTIN SWEBE AFARIKI

Mzee Martin Swebe, baba mzazi wa Jesse Swebe, amefarika usiku wa leo Iringa. Msiba uko nyumbani kwake Kihesa TRM. Mazishi yatafanyika Mbeya kama ilivyokuwa ombi la Marehemu. Wenye nia ya kuchangia wanaweza kutuma chochote kwenye namba 0713257488 (Jesse Swebe),
Mungu amlaze pema  Mzee Martin Swebe

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here