+255713274747

DAR ES SALAAM TANZANIA

IRINGA MJI WETU MZURI SANA

1


Wednesday, June 14, 2017

HABARI YA MOTOMOTO - RAIS JP MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKITI WA BARRICK GOLD CORPORATION, MMILIKI MKUBWA WA ACACIA MINING LIMITED

Huyu ndie John Lawson Thornton aliyezaliwa  tarehe 2 Januari 1954. John pamoja na kuwa msomi mzuri ambaye anaendesha Global Leadership Program katika chuo kikuu cha  Tsinghua katika jiji la Beijing China, pia ndie Mwenyekiti Mtendaji wa Barrick Gold Corporation mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mininga Limited, kampuni ambayo iko katikati ya timbwili la usafirishaji tata wa makinikia. Thornton ametua Dar es Salaam na leo amekuwa na mazungumzo na Rais wetu Dr John Pombe Magufuli. Maelezo zaidi soma taarifa hiyo chini kutoka Ikulu Dar es Salaam
video

video


No comments:
Write comments

Google+ Followers

PITIA

PICHA YA LEO MSIKITI WA MAZOMBE

Hey, we've just launched a new custom color Blogger template. You'll like it - https://t.co/quGl87I2PZ
Join Our Newsletter