GANGILONGA

GANGILONGA
GANGILONGA

USISAHAU

Tuesday, July 11, 2017

MAGASETI GA JUMANNE 11 JULAI 2017
2 comments:

 1. Anaandika Addo November Mwasongwe from Temba

  Kuna jamaa alipelekwa Mahakamani MTINI kwa kumuita Mh. Mbunge Nguruwe. Lilikuwa kosa lake la kwanza hivyo Hakimu akaamua kumuhurumia. Akamuachia na kumpa onyo asitumie lugha chafu tena.

  Jamaa akainama na kumshukuru Hakimu akimwambia "nashukuru sana kwa kuniacha huru sikujua kama ilikuwa makosa kumuita Mbunge Nguruwe. Kweli sitarudia tena". Hakimu akamjibu "usijali unaweza kwenda". Jamaa akauliza, "Naweza kuuliza swali?". Akajibiwa na Hakimu kwamba anaweza kuuliza swali.

  Jamaa akasema, "sasa najua ni kosa kumuita Mbunge Nguruwe, Je ni kosa pia kumuita Nguruwe wangu, Mbunge?" Hakimu akacheka akamwambia "sijui kwa nini ungetaka kumuita Nguruwe wako Mbunge. Ila sidhani kama Nguruwe atajali ukimuita Mbunge. Ndio unaweza kumuita hivyo sio kosa kisheria".

  Jamaa akatabasamu na kuinama, kisha akamgeukia yule Mbunge na kumwambia "kwaheri Mheshimiwa Mbunge" 😂😂😂.!!

  ReplyDelete
 2. Anaandika Addo November Mwasongwe from Temba

Post Top Ad

Responsive Ads Here