KUMBUKUMBU

KUMBUKUMBU
KUMBUKUMBU

USISAHAU


Friday, August 11, 2017

NATASHA LISIMO AJA NA WIMBO MPYA WA GOSPEL -UFUNGUO

Natasha Maige Lisimo aja na kibao cha muziki wa Enjili kiitwacho Ufunguo. Wimbo huu ulioandikwa na Tresor Lisimo, umewekwa melody na Bahati Bukuku, wakati yeye Natasha akiimba kwa sauti yake tamu. Mchanganyiko huu mtamu usikilize kwa amara ya kwanza hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here