MKWAFI MNYAKIDADA

Wednesday, October 21, 2015

SCHOOLS IN IRINGA

LUGALO SECONDARY SCHOOLS FORMERLY AGA KHAN PRIMARY SCHOOL

LUGALO SECONDARY SCHOOL, FORMERLY AGA KHAN SECONDARY SCHOOL


GANGILONGA PRIMARY SCHOOL

SABASABA PRIMARY SCHOOL

MLANGALI PRIMARY SCHOOL

SWEET THINGS YOU CAN EAT IN IRINGA

MY IRINGA 1


Tuesday, October 20, 2015

WELCOME TO IRINGA

Jina Iringa ilitokana na neno la Kihehe Lilinga ambalo tafsiri yake kwa Kiingereza ni Observation Post. Wahehe walianzisha lilinga sehemu hii ilipo Iringa ya sasa, ilikuweza kuwaona maadui kwa urahisi na kuweza kutoa taarifa za kulinda Ikulu iliyokuweko Kalenga. Wajerumani walijenga Boma juu ya kilima hicho hicho baada ya ushindi uliopatikana baada ya kupigana na Wahehe kwa mara ya pili. Katika pambano la kwanza Wajerumani chini ya Von Zelewiski waliuwawa wote akabakizwa mmoja akatoe taarifa kuwa Uheheni kuna wanaume. Vita hiyo ilipigwa eneo la Lugalo mpaka Lundamatwe Kaburi la Zelewiski liko pale Lugalo. Kuboma ni jina walilotumia Wahehe kupaita pale ambapo Wajerumani walijenga Boma lao. Blog hii ni sehemu ya kukutania kuelezana matamu na machungu ya Iringa kwa wakazi wa Iringa walioko na ambao waliwahi kuweko hapa. Blog hii itatupa nafasi ya kukutana kuelezana na kukumbushana yaliyotukuta katika kukutana na mji huu uliopo juu ya kilima . Karibuni.

Comments system

Disqus Shortname

Comments System

blogger/disqus/facebook

Disqus Shortname