GARI LA ZIMA MOTO IRINGA LAPINDUKA WAKATI LIKIENDA KUZIMA MOTO

JANA usiku gari la zima moto la mji wa Iringa limepata ajali ya kupinduka wakati likiwahi kuzima moto kijiji cha Ekengeza Isimani. Kwa mujibu wa taarifa za Mkuu wa Wilaya ya Iringa Bwana Richard Kasesela askari watano wa kikosi cha zima moto waliokuwemo katika ajali hiyo walinusurika.
DC Richard Kasesela akiwa eneo la tukio
No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.