MADEREVA WA MASHINDANO YA MKWAWA IRINGA RALLY 2017 WAMEANZA KUWASILI

Madereva wa mashindano ya magari Mkwawa Rally of Iringa 2017  yatakayofanyika Jumamosi na Jumapili 22-23 April 2017 Iringa wameanza kuwasili. Gerald Miller, mmoja wa madereva bora Afrika ya Mashariki ameshawasili Iringa na pichani anaonekana na mwenyeji wa mashindano hayo Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.