MKUU WA MKOA WA IRINGA KUONGEA NA WADAU WA SOKA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Bi Amina Masenza amewaalika wadau wote wa mpira wa miguu, wakiwemo wanachama na viongozi wa timu ya Lipuli, kesho 5/4/2017, saa nane kamili mchana katika ukumbi  wa Chuo cha Klerruu. Ajenda za mwaliko huo ni;
i. Kupongezana kwa mshikamano mpaka timu ya Lipuli kuingia Ligi Kuu.
ii. Kuangalia nini kifanyike ili kubaki katika Ligi hiyo na kushinda mechi zitakazowakabili.
Ukipata taarifa mjulishe na mwenzio

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.