MKUU WA WILAYA IRINGA AZINDUA KLABU YA MAZOEZI YA TOSAMAGANGA

MKUU WA WILAYA YA IRINGA RICHARD KASESELA ASUBUHI YA LEO AKISHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO
MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela leo amezindua klabu ya mazoezi ya Tosamaganga Hospital. Katika hotuba yake aliwashukuru watumishi na wananchi kwa kumuunga mkono Makamu wa Rais Mama Samia Hassan Suluhu katika wito wake wa 'Mazoezi kwa Afya' "Muhimu sana kuhakikisha kuwa tunatokomoeza magonjwa yanayotokana na ukosefu wa mazoezi" Mkuu wa Wilaya huyo alisema. Klabu iliyozinduliwa pia ina timu za mpira wa miguu, pete na kikapu

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.