ASKOFU WA KANISA LA GREEK ORTHODOX ASIMIKWA IRINGA

ASKOFU mpya wa kanisa la Greek Orthodox amesimikwa leo katika kanisa la Greek orthodox la Iringa. Askofu huyu atakuwa kwa ajili ya  Kanda ya Kati Arusha na Iringa. Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela alikuwa mmoja wapo ya watu wengi waliohudhuria ibada hiyo.No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.