HUYU ASKARI AMEFYATUA RISASI KWANINI?

Nimeangalia video hii mara 20 najaribu kutafuta sababu ya askari huyu kufyatua risasi, na najiuliza je ndiko tunakoelekea kwa askari kufwatua risasi bila sababu? Hakuna mtu hapa anaeoneka na hata kashika fimbo risasi za nini? Je askari huyu hatima yake ni nini kwa kitendo hiki???
 Ataachiwa atutishe wengine na bunduki hii? Je, watu wangejitolea hapa kumdhibiti kingetokea nini?  Maswali ni mengi sana, hebu niangalie tena, na nikifikiria kuwa alitefyatuliwa risasi ni Mtanzania ambaye amewahi kushika wadhifa serikalini na kumaliza kazi yake bila matatizo

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.