IVAN SSEMWANGA, MZAZI MWENZIE NA ZARI WA DIAMOND PLATNUMZ AMEFARIKI DUNIA
Ivan Semwanga, kijana wa Kiganda aliyekuwa anaishi Afrika ya Kusini na ambae ni mzazi mwenzie wa Zari Hassan ambae kwa sasa ni mzazi mwenza wa mwanamuziki Diamond Platnumtz, amefariki. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na Zari kupitia ukurasa wake a Facebook ambapo ameaandika kuwa mzazi mwenzie alifariki mapema asubuhi ya leo katika hospitali ya Steve Biko iliyoko Pretoria. Ivan ameacha watoto wa kiume watatu ambao alizaa na Zari. Zari ameandika maneno ya huzunisha kuhusu kifo cha mzazi mwenzie katika ukurasa wake wa Facebook. Ameandika; “God loves those that are special and that's exactly who you were & I guess that's why he wanted you to himself. You have touched and helped thousands, you did wonders and I remember you telling me "life is too short Zee let me live it to the fullest". “This very dark hour it makes sense why you always said those words to me. To your sons, you were a hero-some kind of superman. Anyone who has ever been in your presence knows what a charming person you were,” Na mwisho akamalizia;
“You will be missed and remembered in so many ways. You were IVAN THE GREAT!”

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.