MANCHESTER UNITED MABINGWA WA KOMBE LA UEFA EUROPA LEAGUE

Manchester United wamefanya vitu vyao! Wameingia tena kwenye  Champions League. Wameitandika timu ya Ajax mbao mbili kwa nunge. Kocha Jose Mourinho alikuwa mtu mwenye furaha kubwa wasaidizi wake walimbeba na kuwa wakimtosa juu, mwanae Jose Jnr nae aliingia uwanjani kushangilia na baba yake. Kwa mbali chozi lilitoka kocha huyo maarufu. Na hakika wapenzi wa timu hiyo dunia nzima leo ni siku yao nzuri ya furaha sana. Mtaa ninaoishi ulikuwa na kelele utadhani kuna watu wamegawiwa noti
WAFUNGAJI

Jose na mwanae Jose JuniorKOMBE LIKIANDIKWA MSHINDI WA 2017 MAN U

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.