MHEMUKO WA DHAHABU WAKUSANYA WACHIMBAJI 3000 KATIKA KIJIJI CHA NYAKAVALANGA

Mhemuko wa dhahabu "Gold rush" umeibuka katika kijiji cha Nyakavangala Iringa, ambapo takribani watu 3000 wamevamia eneo nakuanza machimbo kutafuta dhahabu hiyo. Serikali imelazimika kuingilia kati ili kuweka mazingira yanayostahili kuwalinda wachimbaji hao. Tarehe 15 May 2017, DC wa Iringa akisindikizana na Kamishna msaidizi wa kanda wa shughuli za madini walisindikizana kutembelea eneo hilo.
Wachimbaji wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya Richard kasesela


Wafanya biashara wamewahi fursa mgodini

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wachimbaji

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wachimbaji


Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiongea na wachimbajiNo comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.