MWANAFUNZI CHUO KIKUU DODOMA AKUTWA NA KILO 3 ZA BANGI


Nelson Matee , mwanafunzi wa mwaka wa 4 katika Chuo Kikuu cha Dodoma amejikuta mikononi mwa polisi kwa kukutwa na bangi ya kilo 2.8. Nelson tayari ameshakiri kwa polisi kuwa alikuwa akiwauzia wanafunzi wenzie kwa miaka yote aliyokuwa hapo chuoni. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Dodoma Lazaro Mombasa amesema kinachofuata ni kuwakamata watumiaji ambao walikuwa wateja wa Matee.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.