TAMASHA LA ISIMILA FESTIVAL LAISHA


HATIMAE lile tamasha la siku mbili lililofanyika Isimila, nje kidogo ya mji wa Iringa, tarehe 20/21 May 2017 limemalizika kwa kishindo baada ya wasanii mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali duniani kuonyesha umahili wao, baadhi ya wasanii ni hao waliotajwa katika bando hapo juu. Niwazi uongozi wa Mkoa na wilaya ya Iringa unahitajika kushiriki zaidi ili kupanua tamasha hili ambalo pamoja na kutoa burudani na kuwa jukwaa zuri kwa wasanii wa Iringa, pia linawea kugeuka kivutio kikubwa sana cha utalii. Tamasha lilikuwa na nafasi kubwa ya mauzo mbalimbali ya kazi za sanaa, mauzo ya vinywaji na vyakula na sehemu nzuri ya kuburudika kimwazo.
Grace Matata jukwaani

JHIKOMAN

Sleeping tents some guys camped here, watu walilala hapa pia

Hata muziki wa Country toka Marekani ulikuweko
2 comments:

  1. nyeee kumbi ndemuyenyu ndili kwiya? Ngali kumwaka ili tamasha ilyo liwanite lyuse kaangi?? nyee ndifwaha ve

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole nzao wenzio tuliginoma...usikose kuangalia nasi video sikusa

      Delete

Post Top Ad

Powered by Blogger.