TANZIA--MZEE KITWANA KONDO AFARIKI, ATAZIKWA KESHO


Mzee Kitwana Kondo, mwanasiasa wa zamani ambaye pia aliwahi kuwa  Mbunge wa Kigamboni amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Mzee Kondo maarufu kwa jina la KK anategemewa kuzikwa kesho 25 May 2017

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.