UCHAGUZI WA LIPULIWanachama wafuatao wamejitokeza kufanyiwa usaili kwa nafasi walizoomba katika kusaka uongozi wa timu yetu ya Lipuli.
Nafasi ya Mwenyekiti:
i.                Juli Sawani
ii.              Ramadhani Mahano
iii.             Nuhu Muyinga
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti:
i.                Abnery Mrema
Nafasi ya Katibu Mkuu
i.                Enock Mchala
Nafasi ya Mweka hazina
i.                Edgar Kifyoga
ii.              Khaleed Fungabreki

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.