UKIMUONA CHIZI MUOMBE USHAURI

Nguo hizo hapo chini ziko dukani zinauzwa tena bei mbaya na watu wanagombania tunajifunza nini? Kiukweli machizi wamekuwa wakivaa nguo hizi miaka yote. Jambo linaloonyesha kuwa walikuwa mbele sana kiakili kuliko sisi. Pengine ndo maana huwa wanacheka sana, yaani wanatucheka kwa ufala. Ukimuona chizi msimamishe muombe ushauri.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.