WATOTO WA MTAANI WAKUSANYWA NA POLISI NAIROBI


KUFIKIA jana Jumanne, kiasi cha watoto wa mtaani 470 walikuwa wamekusanywa na polisi katika jiji la Nairobi. Gazeti maarufu la Daily Nation lilipata taarifa kutoka kwa Kamanda wa Polisi wa County

 Japhet Koome, kuwa watoto hao watahojiwa , wengine kurudishwa makwao na wengine kupewa makazi maalumu. Inasemekana katika jiji la Nairobi pekee kuna watoto wa mtaani 60,000.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.