IBADA YA KUSIMIKA MSALABA NA KUJENGA KABURI LA MZEE WILFRED MWAKALEBELA

Familia ya Mzee Wilfred Mwakalebela wa Lugalo Iringa, inapenda kukukaribisha wewe na familia yako kama ndugu, jamaa au rafiki wa jirani wa familia hii siku ya leo Jumamosi 24/06/2017, kwenye  sala maalum ya kumuombea Marehemu Mzee Mwakalebela na kusimika msalaba utakaoambatana na ujenzi wa nyumba yake ya milele.
Saa 3 .00 asubuhi hadi saa 4.00-  Ibada katika  makaburi ya Mtwivila.
Saa 4.15 hadi 5.30 kutafanyika sala nyumbani kwake Lugalo
Saa 6.00 mchana kutakuwa na chakula cha mchana.
Familia ya Mwakalebela inaomba sana ushiriki wako.

*Karibu sana*

Mungu akubariki sana!

Imetolewa na msemaji wa familia

Mr. Fredrick Mwakalebela

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.