MABADILIKO YA RATIBA YA RITTA CHALLENGE CUP JUNE 2 2017

KUTOKANA  na uhaba wa viwanja vya mpira katika Manispaa ya Iringa ratiba ya Ritta Kabati challenge Cup itakuwa kama ifuatavyo
2.6.2017 - Ilala Vs Zimamoto - kiwanja cha Ipogolo
3.6.2017 - Black C Vs Mkimbizi - Kiwanja cha Ipogolo
4.6.2017 - First Boys Vs Chomelea - Kiwanja cha Klerruu
4.6.2017 - Ruaha Vs FIFA - Kiwanja cha Ipogolo
5.6. 2017 - Hezhez Vs Boda to Boda - Kiwanja cha Klerruu
6.6.2017 - Magereza Vs Young Star -Kiwanja cha  Klerruu
7.6.2017 - Brazil Vs Polisi - Kiwanja cha Ipogolo 
Huo utakuwa mwisho wa mzunguko wa kwanza.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.