MASIKINI TIGER WOODS AKAMATWA KWA KOSA LA KUENDESHA GARI AKIWA AMELEWA- angalia video


Mchezaji golf maarufu ambaye katika miaka ya karibuni kapoteza sana umaarufu na uwezo wa kucheza tena gofu hasa baada ya kutalikiwa na mkewe, juzi alikamatwa na polisi kwa kwa kosa kuendesha gari akiwa amelewa baada kukutwa kalala usingizi katika gari ambalo lilikuwa limepaki katikati ya barabara. Tiger amejitetea kuwa hakunywa pombe bali ni matokeo ya mchanganyiko wa dawa alizotumia baada ya operesheni yake ya karibuni ya mgongo.  Angalia video hiyo iliyotolewa na polisi ikionyesha kilichotokea baada ya kukamatwa

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.