MATOKEO YA MICHEZO YA RITTA KABATI CHALLENGE CUP- 3/6/2017


i. Black Cheaters 2 Vs Mkimbizi 2
Wafungaji Mkimbizi-(Frank Ndedela 24’ na Issa mteta 27’)
Wafungaji Black Cheaters –(Ernest Magali 55’ ,87’ goli la pili ni la penati)
Mechi ikalazimika imalizike kwa mikwaju ya penati hatimae
Black Cheaters 5 /Mkimbizi 3
ii.  Amani City 2 Vs Misitu 1
Magoli yote ya Amani yamefungwa na Miraji Yusufu, goli la Misitu lilifungwa na Msimbe kwa shuti la penati

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.