MISS IRINGA 2017-2018 YAPAMBA MOTO


Huduma Tanzania ni kampuni kutoka Iringa ambayo itaendesha shindano la Miss Iringa msimu huu. Shindano linategemewa kufanyika tarehe 15 July 2017. Form za usajili wa washindani tayari zimeanza kusambazwa na kati ya tarehe 1-3 July kutakuweko na usaili wa waliojiandikisha, baada ya hapo kambi ya Mamiss itaanza. Wanaotaka kufadhili shindano hili na wenye maswali ya ziada wapige simu +255672646224 na kuongea na
Cosmas Kishamawe wa Huduma Tanzania. 

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.