BALOZI WA JAPAN AZINDUA BWENI LA WASICHANA SHULE YA SEKONDARI IDODI.

Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshiba amekabidhi na kuzindua bweni la wasichana wa Shule ya Sekondari idodi lenye vyumba 24 vyenye uwezo wa kuhudumia wanafunzi 208 lililogharimu Tsh. 260,577,300.00 ambapo ubalozi wa Japan ulisaidia ujenzi wa bweni hilo kwa kiasi cha Tsh. Milioni 270.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa bweni hilo la wasichana Balozi Yoshiba alisema kuwa amefurahi kuona ujenzi umekamilika kwa kiwango kizuri, vitanda vya kutosha, mfumo imara wa kuhifadhi maji ambapo kwa sasa bweni hilo lina uwezo wa kulaza wanafunzi 208 kama kusudio la ujenzi, “ni matumaini yangu mradi huu utatunzwa vyema”. Alisema Balozi Yoshiba.....habari zaidi soma huku 

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.