INA LUSUNGU WITA SANGASI YAKE VA KWITOSA


Ukirudi Kuboma umetokea mjini watu wanajua namna ya kuhakikisha wanakutoa hela ya ugimbi. Ukifika kijijini baada ya salamu utasikia ndugu yako mmoja anaanza kukusifu, "Umwana uyu ina lusungu ndawe sangasi yake Mnyakuluwota, neke vakwi hwaana uhulo" hapo mzee unaona bichwa limeongezeka na wakikupiga mzinga lazima uingie mfukoni utoe msimbazi. Mara nyingine upulika "Vatige ihwana na Mtegeta au Mahuvi au Mng'anzagala  na lupanyagulu wita ye sangasi yake umunyalusungu yula be, nekumuganga gwailya nyee!" Hapo lazima uingie mfukoni.

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.