TANGAZO LA MSIBA-GALLUS NYAKUNGA

TUNASIKITIKITA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE GALLUS NYAKUNGA WA KIHESA. ALIYEFARIKI JANA SAA MBILI USIKU. KWA WALE WENYE KUMBUKUMBU MZEE GALLUS ALIWAHI KUWA NA MASHINE YA KUSAGA NA KUKOBOA MAHINDI PALE KIHESA.
MAZISHI YA MZEE GALLUS YATAKUWA JUMAMOSI , YATAFANYIKA USAMBUSI , NDULI.
MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.