YAJUE MAJINA YA BAADHI YA VIGOGO WA UHEHENI ENZI ZA MKWAWA

MPANGILE
MKWAWA - Mkwavinyika Ndasalasi Mahinya Munyigumba Mwamuyinga -Likolo lya mwiganga
MTAGE - Dada yake Mkwawa, Jemadari na Munzagila wa Image
MPANGILE - Mdogo wake Mkwawa, jemadari na Munzagila
NGOSINGOSI MWAMUGUMBA - Munzagila na Jemadari
MUBOGAMASOLI MWACHOTA -Jemadari na Munzagila
MSATIMA MWAMUYOVELA - Munzagila na Jemadari
SEMUSILAMUGUNDA -Mke wa kwanza wa Mkwawa
MUGANGA -Mke wa mwisho wa Mkwawa
MSIGOMBA MWANGIMBA - Mlinzi wa Ikulu
LIFUMIKA MWAMSAMBA - Mlinzi wa Ikulu
SAPILIMANG'OMBE-SAPI - Mtoto wa kwanza wa Mkwawa

Wake na watoto wa Mkwawa na Mpangile

No comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.