MWANAFUNZI WA ZAMANI WA HIGHLAND BINGWA WA KUTENGENEZA KEKI

KWA  wale waliosoma Highland mwaka 1991, 1992 watamkumbuka Celine. Alikuwa akiishi Wilolesi. Kwa sasa Celine ni bingwa wa kutengeneza keki zenye mvuto katika macho na tamu sana kuzitafuna. Keki zake zenye usanii wa hali ya juu zimekuwa zikitumika katika harusi, sherehe mbalimbali kama birthday, graduation, kipaimara na kadhalika. Kwa kutumia jina la Dexterious Kitchen, Celine ameweza kujizolea umaarufu mkubwa kwa keki zake. Kuagiza keki wasiliana nae  kupitia simu na 0763368092

 Na hapa chini ni pambo la lace ambalo nalo linaliwaNo comments:

Post Top Ad

Powered by Blogger.