JIFUNZE KIHEHE


1.

Kamwene – Hi

Unoge? – Hujambo?Ndimnofu, hela -Sijambo

Twivanofu, hela - HatujamboMakasi?- Habari za kazi?

Ale, hela/Ongo - SafiMakasi yuveve?- Habari za kazi na wewe?Anoge baba?- Hajambo baba?Mnofu, hela- Mzima tuAnoge mama?- Hajambo mama?Vanoge vana? Hawajambo watoto?Vanofu, hela- Wazima tuKunoge kukaye? Habari za nyumbani?Kunofu, hela- Huko ni salamaTuli pamwinga- Tuko pamoja

Magendo?- habari za safari?Twiwona pambele- Tutaonana baadaeTwiwona milau- Tutaonana keshoHweuli?- Za saa hizi?
Unajibu wheuli

No comments